State House Blog

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi ameongoza wananchi wa Zanzibar katika Dua ya kumuombea Rais wa kwanza na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi hayati Sheikh.Abeid Amani Karume Afisi Kuu ya CC

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiweka shada la maua katika kaburi la Rais wa Kwanza na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Hayati Sheikh.Abeid Amani Karume, baada ya kumalizika kwa kisomo na dua ya kumuombea marehemu iliyofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kisiwandui Unguja Jijini Zanzibar 7-4-2022
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongozana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Mhe.Samia Suluhu Hassan wakielekea katika kaburi la Rais wa Kwanza na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Hayati Sheikh.Abeid Amani Karume, kwa ajili ya kumuombea dua na kuweka mashada ya maua katika kaburi, baada ya kumalizika kwa kisomo cha hitma kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Kisiwandui Unguja Jijini Zanzibar leo 7-4-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongozana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe.Samia Suluhu Hassan wakielekea katika kaburi la Rais wa Kwanza na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Hayati Sheikh.Abeid Amani Karume, kwa ajili ya kumuombea dua na kuweka mashada ya maua katika kaburi, baada ya kumalizika kwa kisomo cha hitma kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Kisiwandui Unguja Jijini Zanzibar leo 7-4-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhja Dk.Hussein Ali Mwinyi na (kulia kwa Rais) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan na Rais Mstaafu wa Zanzibar Alhaj Dkt.Amani Abeid Karume na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Venance Mabeyo na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Philip Isdor Mpango, wakiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, wakimuombea Rais wa Kwanza na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Hayati Sheikh. Abeid Amani Karume, wakiwa katika kaburi baada ya kumalizika kwa Dua na kisomo cha kumuombea marehemu kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiweka shada la maua katika kaburi la Rais wa Kwanza na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Hayati Sheikh.Abeid Amani Karume, baada ya kumalizika kwa kisomo na dua ya kumuombea marehemu iliyofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kisiwandui Unguja Jijini Zanzibar 7-4-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhja Dk.Hussein Ali Mwinyi na (kulia kwa Rais) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan na Rais Mstaafu wa Zanzibar Alhaj Dkt.Amani Abeid Karume na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Venance Mabeyo na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Philip Isdor Mpango, wakiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, wakimuombea Rais wa Kwanza na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Hayati Sheikh. Abeid Amani Karume, wakiwa katika kaburi baada ya kumalizika kwa Dua na kisomo cha kumuombea marehemu kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiweka shada la maua katika kaburi la Rais wa Kwanza na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Hayati Sheikh.Abeid Amani Karume, baada ya kumalizika kwa kisomo na dua ya kumuombea marehemu iliyofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kisiwandui Unguja Jijini Zanzibar 7-4-2022.
  • RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan na (kushoto kwa Rais) Mjane wa Rais wa Kwanza na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Hayati Sheikh. Abeid Amani Karume Mama Fatma Karume na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi wakiitikia dua ya kuhitimisha kisomo cha hitma ikisomwa na Sheikh Salum Juma Faki.

  • VIONGOZI wa Dini Wananchi wakijumuika katika Kisomo cha Hitma na dua ya kumuombea Rais wa Kwanza na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Hayati Sheikh.Abeid Amani Karume, iliyofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Unguja Jijini Zanzibar leo 7-4-2022.
  • VIONGOZI mbalimbali wakishiriki katika kisomo cha Hitma na dua kumuombea Rais wa Kwanza na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Hayati Sheikh.Abeid Amani Karume, kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Unguja leo 7-4-2022, wa kwanza kulia Rais Mstaafu wa Zanzibar Alhaj Dkt.Amani Abeid Karume, Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mhe. Abdulrahaman Kinana, Kaimu Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Khamis Ramadhan Abdallah na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana.
  • VIONGOZI wa Dini Wananchi wakijumuika katika Kisomo cha Hitma na dua ya kumuombea Rais wa Kwanza na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Hayati Sheikh.Abeid Amani Karume, iliyofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Unguja Jijini Zanzibar leo 7-4-2022.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Kuzungumza na Uongozi wa Bodi ya CBE Ikulu Zanzibar

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Bodi ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) ukiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi wa Chuo hicho Prof.Wineaster Saria Anderson (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Prof.Wineaster Saria Anderson alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Bodi ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) ukiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi wa Chuo hicho Prof.Wineaster Saria Anderson (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Ujumbe wa Bodi ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) ukiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo hicho Prof.Wineaster Saria Anderson, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 6-4-2022

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.,Hussein Ali Mwinyi amefungua Kongamano la Nne la Kumbukizi ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar Abeid Amani Karume.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Mhe. Stephen Wasira akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa Kongamano la Nne la kumbukizi ya Rais wa Kwanza na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Hayati Sheikh.Abeid Amani Karume, lililofanyika katika ukumbi wa Chuo hicho Kampasi ya Karume Zanzibar, na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mhe.Jamal Kassim Ali na Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dkt.Amani Abeid Karume.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwanafunzi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kampasi ya Karume Zanzibar Muzdalifa Ali Yassin aliyebuni Satalati Dish Control kwa ajili ya kusetia program za TV, wakati alipotembelea maonesho ya Wanafunzi Wabinifu wa Chuo hicho, kabla ya kufungua Kongamano la Nne la Kumbukizi ya Rais wa Kwanza na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Hayati Sheikh. Abeid Amani Karume. na (kulia kwa Rais)Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Kumbukumbu ya Malimu Nyerere Mhe.Stephen Wasira,Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana na Mkuu wa Chuo Prof. Shadrack Mwakalila.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo Mwalimu Nyerere Mhe. Stephen Wasira alipowasili katika viwanja vya Chuo Kampesi ya Karume Zanzibar,kwa ajili ya ufunguzi wa Kongamano la Nne la Kumbukizi ya Rais wa Kwanza na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Hayati Sheikh. Abeid Amani Karume, na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Rais Mtaafu wa Zanzibar Mhe.Dkt.Amani Abeid Karume baada ya kualizika kwa hafla ya ufunguzi wa Kongamano la Nne la Kumbukizi ya Rais wa Kwanza na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Hayati Sheikh. Abeid Amani Karume, lililofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kampasi ya Karume Zanzibar leo 5-4-2022.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Mhe. Stephen Wasira akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa Kongamano la Nne la kumbukizi ya Rais wa Kwanza na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Hayati Sheikh.Abeid Amani Karume, lililofanyika katika ukumbi wa Chuo hicho Kampasi ya Karume Zanzibar, na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mhe.Jamal Kassim Ali na Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dkt.Amani Abeid Karume.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkufunzi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kampasi ya Karume Bububu Zanzibar Bw, Muhammad Kassim Muhammad akitowa maelezo ya kifaa cha “IOT Based Hydro-ponics Monitoring System “ wakati akitembelea maonesho ya Wanafunzi Wabunifu wa vifaa mbalimbali katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kampasi ya Karume Bububu Zanzibar, kabla ya kulifungua Kongamano la Nne la Kumbukizi ya Rais wa Kwanza na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Hayati Sheikh. Abeid Amani Karume.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na Wanafunzi walioshinda shindano la Isha, baada ya kumalizika kwa ufunguzi wa Kongamano la Nne la Kumbukizi ya Rais wa Kwanza na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Hayati Sheikh.Abeid Amani Karume.
  • MWENYEKITI wa Bodi ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Mhe Stephen Wasira akizungumza wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Nne la Kumbukizi ya Rais wa Kwanza na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Hayati Sheikh. Abeid Amani Karume lililofanyika Kampasi ya Karume Zanziubar.

Mkutano Mkuu wa CCM Maalun Ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma.

  • MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akiwa na Viongozi wa meza kuu baada ya kuwasili katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Dodoma kwa ajili ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Maalum uliofanyika katika ukumbi huo leo.1-4-2022.
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyin akiwa na Wake wa Viongozi wastaafu wakiwa katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Dodoma kuhudhuria kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Maalum, uliofanyika katika ukumbi huo leo 1-4-2022.
  • VIONGOZI Wastaafu wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Maalum,wakati Mwenyekiti wa CCM ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan(hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma leo 1-4-2022.
  • WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Maalum wakimsikiliza Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan.(hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma leo 1-4-2022.

  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Maalum. wakati Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan.(hayupo pichani ) akihutubia na kuufungua mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Jaka Kikwete Jijini Dodoma leo 1-4-2022 na (kulia kwake) Mama Anna Mkapa na (kushoto kwake) Mama Shadya Karume.
  • WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Maalum wakimsikiliza Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan.(hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma leo 1-4-2022.
  • MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akiwa na Viongozi wa meza kuu baada ya kuwasili katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Dodoma kwa ajili ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Maalum uliofanyika katika ukumbi huo leo.1-4-2022.
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyin akiwa na Wake wa Viongozi wastaafu wakiwa katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Dodoma kuhudhuria kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Maalum, uliofanyika katika ukumbi huo leo 1-4-2022.
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Maalum. wakati Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan.(hayupo pichani ) akihutubia na kuufungua mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Jaka Kikwete Jijini Dodoma leo 1-4-2022 na (kulia kwake) Mama Anna Mkapa na (kushoto kwake) Mama Shadya Karume na Mhe.Mama Salma Kikwete.
  • Wastaafu wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Maalum,wakati Mwenyekiti wa CCM ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan(hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma leo 1-4-2022.

Mjumbe wa kamati kuu ya Halmashauri kuu ya CCM ambae pia ni Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amehudhuria kikao cha Halmashauri kuu ya CCM jijini Dodoma.

  • WAJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa wakimsikiliza Mwenyekiti wa CCM ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan.(hayupo pichani) akifungua Kikao hicho kilichofanyika katika ukumbi wa White House Jijini Dodoma.
  • WAJUMBE wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiwa katika ukumbi wa mkutano jengo la White House wakipitia makabrasha ya Kikao hicho kabla ya kufunguliwa na Mwenyekiti wa Chama Cha NMapinduzi ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan.(hayupo pichani)
  • WAJUMBE wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha cMapinduzi (CCM) wakiwa katika ukumbi wa mkutano jengo la White House wakipitia makabrasha ya Kikao hicho kabla ya kufunguliwa na Mwenyekiti wa Chama Cha NMapinduzi ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan.(hayupo pichani).
  • MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Wajumbe wa Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa,wakimsikiliza Mwenyekiti wa CCM ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) akifungua Kikao hicho kilichofanyika katika ukumbiu wa White House Jijini Dodoma leo 31-3-2022, na (kulia kwa Rais) Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM ambae pia ni Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Mjumbe wa Kamari Kuu ambae pia ni Spika wa Bunge la Tanzania Mhe.Dkt.Tulia Ackson.
  • MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi kilichofanyika katika ukumbi wa White House Jijini Dodoma.