Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewaapisha viongozi wanne aliowateua hivi karibuni,

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewaapisha viongozi wanne aliowateua hivi karibuni, wakiwemo majaji wawili wa Mahakama Kuu ya Zanzibar. Rais…

Read More

Rais Dkt. Mwinyi ameitaka OACPS kugeuza Maazimio kuwa Programu zinazowanufaisha Wananchi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameishauri Jumuiya ya Nchi za Afrika, Karibiani na Pasifiki (OACPS) kuhakikisha maazimio na matamko yanayopitishwa…

Read More

Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameutaka Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) kukamilisha kwa haraka ujenzi wa vituo vya kisasa vya mabasi vitakavyotumika katika Mradi wa Mabasi ya Umeme

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameutaka Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) kukamilisha kwa haraka ujenzi wa vituo vya kisasa vya mabasi…

Read More

Rais Dkt. Mwinyi: SMZ itaendelea kushirikiana na UN Women kuwawezesha Wanawake Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kushirikiana na UN Women katika kukuza usawa wa kijinsia,…

Read More