Rais Dkt. Mwinyi ametoa Salamu za pole kufuatia Kifo cha Amir wa zamani wa Qatar, amesaini Kitabu cha Maombolezo Dar Es Salaam.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametuma salamu za pole kwa Amir wa Qatar, Serikali na wananchi wa Qatar kufuatia kifo cha Amir wa zamani wa…
Read More

.jpeg)
.jpeg)
