Rais Dkt. Mwinyi Awasili jijini Mombasa, Kenya

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Moi, jijini Mombasa, Kenya, leo tarehe 17 Juni 2026, kwa…

Read More

Alhaj Dkt. Mwinyi ametoa wito kwa wananchi wa Tanzania kuufanya Mwaka Mpya wa Kiislamu 1448 Hijria kuwa mwaka wa maridhiano

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametoa wito kwa wananchi wa Tanzania kuufanya Mwaka Mpya wa Kiislamu 1448 Hijria kuwa mwaka wa maridhiano,…

Read More

Rais Dkt.Mwinyi amesema SMZ itaendelea kushirikiana na wadau kuimarisha sekta ya Afya nchini.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali itaendelea kushirikiana na taasisi na wadau mbalimbali wa sekta ya afya ili kuimarisha utoaji…

Read More

Mama Mariam Mwinyi amempokea Mke wa Rais wa Singapore na kujadili fursa za ushirikiano.

Mke wa Rais wa Zanzibar, Mwenyekiti na Msarifu wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation, Mama Mariam Mwinyi, amesema taasisi hiyo itaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali katika kuimarisha…

Read More

Rais Dkt.Mwinyi amesema Zanzibar inafungua ukurasa mpya wa Ushirikiano na Singapore.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Zanzibar inakusudia kufungua ukurasa mpya wa uhusiano na ushirikiano na Jamhuri ya Singapore, hususan…

Read More