Media

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali inafarijika kuona taasisi zisizo za Kiserikali zinasaidia juhudi za Serikali katika kuimarisha huduma mbali mbali za kijamii

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali inafarijika kuona taasisi zisizo za Kiserikali zinasaidia juhudi za Serikali katika kuimarisha huduma…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema hatua ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kufungua Ubalozi mdogo hapa Zanzibar, itaendeleza kasi katika kukuza uhusiano na ushirikiano wa muda mrefu uliopo hapa nchi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema hatua ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kufungua Ubalozi mdogo hapa Zanzibar, itaendeleza kasi katika kukuza…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema ameridhishwa na hatua zilizofikiwa za ujenzi katika Hospitali mpya ya Mkoa wa Mjini Magharibi, inayoendelea kujengwa katika eneo la Lumumba Mjini Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema ameridhishwa na hatua zilizofikiwa za ujenzi katika Hospitali mpya ya Mkoa wa Mjini Magharibi, inayoendelea…

Read More