Media

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema ili Taifa liweze kupata mafanikio, kunahitajika uwepo wa vipaumbele na shabaha zinazoweza kupimika, sambamba

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema ili Taifa liweze kupata mafanikio, kunahitajika uwepo wa vipaumbele na shabaha zinazoweza kupimika, sambamba…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi, kesho tarehe 2 Disemba 2022 anatarajiwa kuzindua rasmi Taasisi ya ‘Presidential Delivery Bureau (PDB),Ikulu Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, kesho anatarajiwa kuzindua rasmi Taasisi ya ‘Presidential Delivery Bureau (PDB), katika hafla itakayofanyika Ikulu…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi leo amemuapisha Ali Khamis Juma kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Biashara , Viwanda na Masoko

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi leo amemuapisha Ali Khamis Juma kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Biashara , Viwanda na Masoko katika hafla iliofanyika Ikulu…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuna umuhimu wa Taifa kuongeza wataalamu wenye uwezo wa hali ya juu, ili kuongeza ufanisi katika kukabiliana na magonjwa ya figo hapa nchini.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuna umuhimu wa Taifa kuongeza wataalamu wenye uwezo wa hali ya juu, ili kuongeza ufanisi katika kukabiliana…

Read More