News and Events

MKE wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Mama Mariam Mwinyi ameizindua bodi na ofisi mpya ya taasisi anayoingoza ya “Zanzibar Maisha Bora Foundation” (ZMBF)

MKE wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Mama Mariam Mwinyi ameizindua bodi na ofisi mpya ya taasisi anayoingoza ya “Zanzibar Maisha Bora Foundation” (ZMBF).Uzinduzi wa bodi na ofisi hiyo umefanyika…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameiagiza Mamlaka ya Mji Mkongwe kuifunika mitaro yote iliyowazi kwenye mji huo ili kuepusha maradhi na ajali kwa wananchi na wageni wanaoutembelea mji huo

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameiagiza Mamlaka ya Mji Mkongwe kuifunika mitaro yote iliyowazi kwenye mji huo ili kuepusha maradhi na ajali kwa…

Read More

RAIS MWINYI AWAAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUA HIVI KARIBUNI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk, Hussein Ali Mwinyi amewaapisha Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya aliowateua hivi karibuni.Hafla hiyo ya Uapisho Imefanyika katika Viwanja…

Read More

SMZ kuwafidia nyumba Bora wananchi watakaopisha Miradi ya Maendeleo

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuanzia sasa Serikali itawafidia nyumba bora wananchi wanaotoa maeneo yao kupisha miradi ya maendeleo.Rais…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi amebainisha mikakati ya Serikali juu ya ukuaji uchumi wa Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amebainisha mikakati ya Serikali juu ya ukuaji uchumi wa Zanzibar na kueleza kuwa inaendelea kuwawekea mazingira…

Read More

Rais Dkt.Samia asisitiza Nchi za SADC kumaliza Migogoro.

Mwenyekiti wa asasi ya siasa, ulinzi na usalama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan amezisisitiza nchi za Jumuiya…

Read More