Dk,Hussein Ali Mwinyi ameizawadia Timu ya Taifa ya Zanzibar, ZANZIBAR HEROES Shilingi Milioni 50 baada ya kulitwaa Kombe la Mapinduzi 2025.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Hussein Ali Mwinyi ameizawadia Timu ya Taifa ya Zanzibar, ZANZIBAR HEROES Shilingi Milioni 50 baada Ya kulitwaa Kombe la Mapinduzi 2025.Akizungumza…
Read More