News and Events

Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Dua Maalum ya Kumshukuru Mwenyezi Mungu pamoja na kuliombea Taifa Amani

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Dua Maalum ya Kumshukuru Mwenyezi Mungu pamoja na kuliombea…

Read More

Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa Serikali ina mpango wa kuongeza bajeti ya sekta ya elimu kutoka shilingi bilioni 864 hadi kufikia shilingi trilioni 1, ili kuimarisha ubora wa elimu nchini.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa Serikali ina mpango wa kuongeza bajeti ya sekta ya elimu kutoka shilingi bilioni 864 hadi kufikia…

Read More

Mama Mariam Mwinyi ameendeleza Kampeni ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia

Mke wa Rais wa Zanzibar, Mama Mariam H. Mwinyi, ambaye pia ni Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF), ameendelea kuonesha uongozi thabiti katika…

Read More

Dkt, Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuchukua hatua za Makusudi za kimkakati kuhakikisha inazipatia Ufumbuzi Changamoto zinazowakabili Watu Wenye Ulemavu hapa Nchini

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuchukua hatua za Makusudi za kimkakati kuhakikisha inazipatia Ufumbuzi Changamoto zinazowakabili…

Read More

Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameishukuru Serikali ya India kwa misaada ambayo imekuwa ikichangia maendeleo ya kiuchumi na kijamii nchini.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameishukuru Serikali ya India kwa misaada ambayo imekuwa ikichangia maendeleo ya kiuchumi na kijamii nchini.…

Read More