Rais Mwinyi amesema SMZ itachukua hatua kali kwa Viongozi wasiowasilisha Fomu za Maadili kwa wakati.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali itachukua hatua kali za kisheria dhidi ya viongozi na watumishi wa umma watakaoshindwa kujaza…
Read More







